WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya michezo unaoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba.
Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, itashuka dimbani leo Jumanne, Desemba 16, 2025 kuivaa timu ya taifa ya Misri, ...
Kompyuta mahiri ya takwimu ya Opta Supercomputer, imetoa utabiri wa mataifa yenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, mashindano yatakayoanza wikiendi ...
KLABU ya KVZ inayoshiriki Ligi Kuu Soka Zanzibar, imemtambulisha Malale Hamsini kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, huku ...
JIJI la Arusha limeendelea kung’ara kwenye ramani ya soka la vijana barani Afrika baada ya jumla ya timu 150 kushiriki ...
Baada ya kizazi cha Chuji kikaja kizazi cha kina Jonas Mkude. Tulimuimba sana. Fundi wa mpira ambaye aliurahisisha mpira ...
Yanga imekuwa ikihusishwa na Amosi tangu msimu uliopita alipodaiwa alikuwa hatua ya mwisho kutua Jangwani akitokea Tanzania ...
Winga Joshua Mutale ni mchezaji mwingine mkataba wake upo ukingoni na yupo sokoni kwa sasa kwani kama mabosi wa Msimbazi ...
KOCHA, David Moyes amethibitisha kuwa Jack Grealish anasumbuliwa na maumivu ya misuli ambayo yatawaacha kwenye pigo kubwa.
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amemtetea straika Viktor Gyokeres kwa kiwango chake alichokionyesha dhidi ya Wolves na badala ...
ALIYEKUWA mmiliki wa Tottenham Hotspur, Lord Alan Sugar amewataka mabosi wa sasa wa timu hiyo kumwajiri kocha Jurgen Klopp ...
KIUNGO wa Brighton, Carlos Baleba amekiri kwamba tetesi za kutakiwa na Manchester United zilimfanya kuwa na presha kubwa na ...