"Vipi, unaweza kurekebisha hapa? Haionekani ya kifahari,"Sean"Diddy" Combs anasema katika ujumbe wa sauti kwa wasaidizi wake binafsi huku muziki wa R&B ukicheza chinichini. Saa kadhaa kabla, kile ...
Siku chache zimepita baada ya vikosi vya Marekani kumkamata Rais wa Venezuela Nicolas Maduro katika shambulio la kijeshi ...