Afrika Kusini huenda ikawa nchi ya kwanza Afrika kuhalalisha biashara ya ngono, hatua ambayo wale wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kuyalinda makundi yaliyotengwa dhidi ya ghasia na kukabiliwa na ...
Teknolojia imebadilisha kwa kiasi kikubwa mahusiano ya kijamii. Kwa vijana, mabadiliko haya yameleta hali ambapo uamsho wao wa kihisia na kingono huanzia kupitia jumbe za mitandaoni. Hali hii imezua ...