Utata na sintofahamu vimehitimishwa rasmi leo. Yanga SC imemaliza msimu kwa kishindo, ikiibuka na ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao wakubwa, Simba SC, katika dabi ya Kariakoo ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ya aina yake, huku wakiwa wametwaa kombe hilo mara tatu mfululizo. Baada ya ubingwa unaoongeza historia ya klabu ...
Mabingwa watetezi Yanga wameendelea kung'ang'ania kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 kwa Nunge dhidi ya wenyeji, Singida Fountain Gate. "Wana nafasi kubwa ya kutetea ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Mzunguko wa 12 wa Ligi Kuu ya wanawake Tanzania, unaendelea kuridima 18.03.2025 kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo katika uwanja wa KMC saa Kumi kamili Jioni. Yanga Princess wanaingia katika mchezo huo ...
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Yanga kushinda ubingwa wao wa 26, klabu ya Les Aigle du Congo yashinda ubingwa wa ligi ya DRC, historia zilizowekwa na Faith Kipyegon na Khaman Maluach wiki hii, Aish ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results