Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema kundi lenye kujihami kwa silaha lenye ushirika na jeshi la Sudan liliwalenga raia kwa makusudi katika shambulio la Januari 10, 2025 ...