Serikali ya Tanzania imetangaza mpango mpya wa kuwarejesha masomoni mabinti waliopata ama wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni, mpango ambao utaanza ramsi kuanzia mwaka 2022. Chini ya utaratibu wa ...
Kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Nchini KNUT Wilson Sossion kwamba wanafunzi wa shule za Sekondari nchini wanafaa kuruhusiwa kumiliki simu za rununu na kuwa nazo wakiwa shuleni, bila shaka ...
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema serikali ya nchi hiyo haiwezi kutoa mikopo ya kimasomo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini humo. Kiongozi huyo alisema serikali yake imekuwa ...
Lakini "matokeo yanayotia wasiwasi zaidi" ni kuongezeka kwa ukosefu wa usawa wa elimu, amesema Peggy Carr, mkuu wa shirika la takwimu la Wizara ya Elimu ya shirikisho ambayo huchapisha takwimu hizi, ...
Wanafunzi wa msingi na sekondari wanatakiwa kuwa shuleni baada ya mwaka wa masomo kufunguliwa lakini wengine hawajaripoti shuleni kama anavyoandika Anaclet Rwegayura katika barua kutoka Dar akitizama ...
(Nairobi) – Marufuku ya serikali ya Tanzania dhidi ya wanafunzi wa kike wanaopata mimba na wale walio na watoto wachanga kuendelea na masomo imewanyima maelfu ya wasichana haki ya kupata elimu.
Nchini Kenya mfumo wa elimu na mitihani wa 8-4-4 umefikia kikomo huku wanafunzi wa shule ya msingi wakifanya mtihani wa mwisho wa kumaliza darasa la nane, KCPE. Baada ya sasa, wanafunzi wa shule ya ...
Mwaka wa masomo unapokamilika, maelfu ya wanafunzi wa kimataifa wanaandikishwa kwa kazi za likizo. Hata hivyo, iwapo mambo yataenda kombo, wataalam wanaonya kuwa wachache wanaelewa haki zao za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results