Tanzania inatenga kiasi cha fedha kwa ajili ya kupambana na mitandao ya ngono. Tanzania inasema picha hizo ni kinyume cha maadili ya nchi hiyo, hivyo inatengeneza mfumo utakaoweza kuchuja na kuzuia ...
Makamu huyo wa Rais ametoa agizo hilo jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Majaji na Mahakimu wanawake Tanzania (TAWJA). Aidha ameonya kuhusu vitendo vya rushwa ya ...
Vyombo vya habari Tanzania vimetakiwa kuwa na sera ndogo ya kupinga rushwa ya ngono katika vyumba vya habari inayoonekana kushamiri katika kipindi cha hivi karibuni hasa kwa waandishi waolipwa kwa ...
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku vitabu vingi vya watoto shuleni, hasa vya elimu ya ngono na vinavyoshutumu kwa kukiuka "kanuni za kitamaduni na maadili" za nchi hii ya Afrika Mashariki ambapo ...