Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani, CHADEMA, Tundu Lissu yanayohusiana na usikilizwaji wa kesi ya ...
Uamuzi huu unatarajiwa kutolewa na jopo la majaji watatu (3), likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, huku majaji wengine wakiwa James Karayemana na Ferdinand. Jopo hili ndilo limepitisha masuala yote ...
Luhaga Mpina ailienguliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia pingamizi lililotolewa na mwanachama wa chama hicho, Monalisa Ndala, kwa madai kuwa uteuzi wake ulikiuka katiba na kanuni za ...
Nchini Tanzania, kiongozi wa upinzani Tundu Lissu alifikishwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Juni 27, 2025, kupinga kifungu cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Sheria hii, ...
Mamia ya wafuasi na wasio wafuasi wa Chama ACT Wazalendo walikuwepo katika Mahakama Kuu, Masijala kuu ya Dodoma kufuatilia uamuzi wa shauri la Luhaga Mpina. Na Dinah Gahamanyi & Asha Juma Chanzo cha ...
(Nairobi) – Kesi ya muhimu juu ya katazo la Tanzania dhidi ya wanafunzi wajawazito, walioolewa, au ambao ni kina mama katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inaweza kuathiri kwa kiasi ...
Mahakama Kuu nchini Tanzania imetupilia mbali mapingamizi yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuhusu makosa aliyoyabaini katika hati ya mashitaka na hitilafu katika viambatanisho vya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results