Chanzo cha picha, YASSER AL-ZAYYAT / AFP via Getty Images Imeandikwa kuwa: "Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu,"(Mathayo 4:4) Maneno haya yalisemwa na Yesu ...
Kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 30, Waislamu na Wakristo katika sehemu mbalimbali za dunia wanaanza kwa wakati mmoja misimu yao mikuu ya kiroho — Ramadhan na Kwaresma. Wakati Waislamu ...