Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), tangu uchaguzi wa 2020, pia ni Askofu wa Glory of Christ Church kwa usajili, maarufu Kanisa la Ufufuo ...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amelaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania, akisema vinaathiri kwa kiasi kikubwa taswira ya taifa kimataifa na ...
Sakata la kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limechukua sura mpya baada ya vyombo vya usalama kuzingira kanisa hilo. vyombo vya ulinzi na usalama ...
Polisi jijini Dar es Salaam Tanzania wamezingira jengo la kanisa la Ufufuo na Uzima linalomilikiwa na mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima, ambaye wiki iliyopita, alilaani matukio ya utekaji ...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya haki, maadili na madaraka ya bunge mjini Dodoma akiitikia wito wa Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai kujibu ...
Tanzania’s government has shut down a prominent church after its founder and pastor, a ruling party lawmaker, denounced ongoing human rights violations in a sermon. The move came less than a day after ...
The Tanzanian government has deregistered Glory of Christ Church, led by Kawe Member of Parliament Josephat Gwajima, accusing it of delivering politically charged sermons intended to incite the public ...